HOME
Miili
15 ya raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ambao walifariki
katika ajali ya meli kwenye Mkoa wa Kalemie nchini humo ilipatikana
Kigoma na mazishi yamefanyika ambapo kwa upande wa Serikali Congo
kulikuwa na muwakilishi ambaye ni Balozi mdogo Congo, Riki Molema.
Mazishi ya watu 15 raia wa Congo waliopata ajali ya meli, RIP

Hizi ni baadhi ya picha wakati wa mazishi ya watu hao.

Naibu
Balozi Mdogo wa ubalozi wa DRC mkoani Kigoma Riki Molema akizungumza na
wananchi wa kijiji cha kalilani wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma wakati
wa mazishi ya watu hao.
Chapisha Maoni