HOME
Kulikuwa na story kutoka 254 Kenya ambapo Mchungaji mmoja Peter Kanyarialikumbwa na kashfa ya kufanya uponyaji ambao watu walidai kuwa haukuwa na miujiza ya ukweli ndani yake, bali ni watu waliokuwa wanaandaliwa ili wadanganye watu kwamba wameponywa na Mchungaji huyo.
Tumia dakika zako nne tu kuitazama hii ucheke na wewe…


Sasa leo nimekutana na video hii Youtube, nimekuwekea uone ambavyo huyu bwana anajibu maswali akiigiza kama ndio Mchungaji Kanyari.
Chapisha Maoni