HOME
Alisema hayo bungeni jana wakati
akiuliza swali la nyongeza akihoji ni lini serikali itawasaidia wazee
hao kwa kuwapelekea gesi kwa ajili ya kupikia ili kuweza kuyanusuru
maisha yao.
DODOMA
Alihoji
“Watu wanawaua wazee na wanawafukia wakiwa hai eti ni washirikiana kisa
wana macho mekundu, je, serikali itawasaidiaje wazee hao wa kuwapelekea
gesi ili wasiuawe na itikadi za kishirikina?”.
Chapisha Maoni