HOME
KAMPUNI
ya Aspro Capital Limited ni kampuni inayoingia ubia na wajasiliamali
kwa kutoa huduma za kitalaam ili kuweza kutatua changamoto zinazomkabili
mjasiliamali.
Sekta binafsi zaaswa kutoa huduma wanazotoa ziwanufaishe wajasiliamali wadogo kama serikali inavyotarajia na inavyofuatilia kwa karibu huduma zinazotolewa na sekta binafsi kwa wajasiliamali.
Hayo yamesemwa na
Mkurugenzi wa Viwanda vidogo na biashara ndogo, Wizara ya Viwanda,
Biashara na Uwekezaji, Consolatha Ishebabi wakati akizungumza na
wajalisiamali waliokusanywa na kampuni ya
Aspro Capital Limited jijini Dar es Salaam leo, amesema kuwa
serikali imekuwa inafanya jitihada mbalimbali za kuendeleza
wajasiliamali wadogo ikiwa ni pamoja kuanzisha mikakati na programu
zinazolenga kuboresha mazingira ya ufanyaji biashara hapa nchini.
Naye Mkurugenzi
wa Kampuni ya Aspro Capital Limited, Isaya Shoki amesema kuwa kampuni
yao ni muunganiko wa wanahisa ili kusaidia wjsiliamali wadogo kwa upande
wa vifungashio pamoja na masoko ya bidha za wajasiliamali wadogo.
Mkurugenzi
wa Viwanda vidogo na biashara ndogo, Wizara ya Viwanda, Biashara na
Uwekezaji, Consolatha Ishebabi akizungumza na wajasiliamali katika
mkutano ulioandaliwa na Kampuni ya Aspro Capital Limited jijini Dar es
Salaam leo, kuhusiana na uendelezaji wajasiliamali wadogo ambao wanataka
kuendelez biashara zao.
Mkurugenzi
wa Kampuni ya Aspro Capital Limited, Isaya Shoki akizungumza na
wajasiliamali wadogo ambao wanafanya kazi za mikono katika mkutano
uliofanyika jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Kampuni ya Arch Financial & Investiment, Iyen Msemwa
akifafanua jambo kuhusiana na Kampuni ya Aspro Capital Limited na jinsi
inavyosaidia wajasiliamali hao
Baadhi ya wajasiliamali wakiwa katika mkutano ulioandaliwa na kampuni ya Aspro Capital Limited jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi
wa Kampuni ya Aspro Capital Limited, Isaya Shoki na Mkurugenzi wa
Viwanda vidogo na biashara ndogo, Wizara ya Viwanda, Biashara na
Uwekezaji, Consolatha Ishebabi wakiwa katika picha ya pamoja na
wajasiliamali wadogo katika mkutano wa Kampuni ya Aspro Capital Limited
jijini Dar es Salaam leo.

Chapisha Maoni