Jarida maarufu la Forbes Afrika mwishoni mwa wiki hii limeiachia list ya wajasiriamali 30 wanaotarajiwa kuwa wakubwa kutoka bara la Afrika katika sekta zote kwa mwaka 2016, hawa ni mabilionea wa kesho.
Orodha ina wajasiriamali kutoka barani kote Afrika, kutoka Kenya, Nigeria, Madagascar, Tanzania, Benini, Gambia, Zimbabwe na nchi zingine za Afrika.
Mtanzania ambaye ni Miss Universe 2010, Hellen Dause jina lake limetajwa kuwa miongoni mwa wajasiriamali hao walio chini ya umri wa miaka 30 kwa mwaka 2016.
Mhaririri Mtendaji wa Forbes Afrika, Criss Bishop amesema…….>>> ‘hii orodha ni muhimu sana Afrika kwa kijana yeyote kwa kuwa ina ushawishi wa kutosha wa kuanzisha biashara yake’.
Very proud of Miss Universe Tanzania 2010 @NuyaHellen for making it to top 30 under 30 entrepreneurs @forbesafrica

Chapisha Maoni