HOME

Wakazi wa
Dar es salaam wataanza kupanda Mabasi mapya yaendayo haraka huku
yakipita kwenye barabara maalum ambapo nauli za Mabasi tayari
zimeshatangazwa, tayari vituo vya Mabasi haya vimeanza kuwashwa taa
usiku ambapo millardayo.com imetembelea baadhi ya vituo ili kukuonyesha inavyokua.

Wahusika
waliipa millardayo.com ruhusa ya kuingia mpaka ndani na kuchukua picha
na ulinzi upo saa 24 ili kuvilinda vituo hivi ambavyo vimetengenezwa kwa
vioo pia.

.

.

.

.

Kituo cha abiria cha mabasi yaendayo haraka kilichopo Posta Dar es Salaam

Kituo kipya cha abiria cha mabasi yaendayo haraka kilichopo Posta na garden kwa ndani.

Posta Dar es salaam

.

.
Chapisha Maoni