AJALI
Baada ya jengo la shule ya Islamic Girls kuwaka moto usiku wa May 17 2016, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda ameungana na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Alhadi Mussa Salim kufika eneo la tukio na kuwajulia hali wahanga waliokumbwa na janga hilo, hata hivyo mpaka millardayo.com inaondoka eneo la tukio chanzo cha moto huo kilikuwa hakijajulikana.
Chapisha Maoni