NEWSROOM NEWSROOM Author
Title: VIDEO: Diamond na Mafikizolo wamekaribishwa Bungeni leo, ilikuwa hivi…
Author: NEWSROOM
Rating 5 of 5 Des:
HOME Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (Mb) (wa pili kulia) akiwa pamoja na Wasanii wa kizazi kipya...
HOME

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (Mb) (wa pili kulia) akiwa pamoja na Wasanii wa kizazi kipya ambao walitembelea Bunge mjini Dodoma akiwemo Msanii Nasib Abdul maarufu kama Diamond Platinumz pamoja na Mafikozolo 12 Mei, 2016.
Wasanii wa kizazi kipya, Nasib Abdul (Diamond Platinumz) (wa tatu kushoto) pamoja na Mafikizolo wakiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Mbunge Dodoma.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Babu Tale (katikati). Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Mhe. January Makamba Bungeni Dodoma.
Mhe. Nape Nnauye (wa pili kulia) pamoja na Mhe. January Makamba (wa pili kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na Wasanii Nasib Abdul (Diamond Platinumz) (katikati) pamoja na Mafikizolo Bungeni mjini Dodoma.
Mhe. Nape Nnauye (kushoto) pamoja na Mhe. January Makamba (kulia) na Mbunge mwingine (mwenye suti nyekundu) wakiwa katika picha ya pamoja na Wasanii Nasib Abdul (Diamond Platinumz) (katikati) pamoja na Mafikizolo Bungeni mjini Dodoma.
May 12 2016 kundi maarufu la muziki kutoka Afrika Kusini Mafikizolo pamoja na staa wa bongofleva Diamond Platnumz walipata mwaliko wa kuingia Bungeni Dodoma ambapo wakali hawa wapo Dodoma kwa ajili ya kuidondosha burudani Chuo kikuu Dodoma.
Unaweza kutazama hii video hapa chini…

ULIIKOSA VIDEO YA SHOW YA DIAMOND LAS VEGAS MAREKANI ILIYOVUNJA REKODI YA WAHUDHURIAJI? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI?


About Author

Advertisement

Chapisha Maoni

 
Top