Unknown Unknown Author
Title: Rais wa Brazil Dilma Rousself kasimamishwa kazi…
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
HOME Mtu wangu kama utakuwa karibu na vyombo vya habari vya kimataifa story inayochukua headline sasa hivi ni kuhusu aliyekuwa Rais...
HOME

Mtu wangu kama utakuwa karibu na vyombo vya habari vya kimataifa story inayochukua headline sasa hivi ni kuhusu aliyekuwa Rais wa Brazil wa kwanza mwanamke Dilma Rousself kusimamishwa kazi ya urais.
Hatua hiyo imekuja baada ya Bunge la Seneti Brazil kupiga kura kuidhinisha kutokuwa na imani na kiongozi huyo wa Taifa ambapo amesimamishwa kwa siku zisizozidi 180 wakati bunge hilo likichunguza  tuhuma za rushwa zinazomkabili. 
Masenata 55 waliunga kuidhinishwa kura hiyo ya kutokuwa na imani na 22 hawakuunga mkono katika kikao cha zaidi ya saa 20, Makamu wa rais Michel Temer sasa ndio atashikilia madaraka wakati kesi dhidi ya Bi Rousseff inaendelea.
Baraza la Seneta la Barauli limepitisha kura 55dhidi ya 22 kumshitaki Rais Dilma Roussef wa Brazil ambaye ni rais wa kwanza mwanamke katika taifa hilo la Amerika Kusini.Kiongozi huyo anatuhumiwakwa tuhuma za kughushuia bajeti kuficha nakisdi kubwa ya bajeti,Bibi Roussef sasa atamkabidhi madaraka kwa madaraka kwa makamo wa rais Michael Temer.
Mdahalo wa kumfungulia mashitaka ulichukuliwa ulifanyika usiku kucha.Ilikuwa ikihitajika  wingi mchache wa wajumbe 81 wa seneti kumsitisha rais huyo kwa kipicha miezi sita kusubiri hukumu juu ya madai kwamba amevunja taratibu za bajeti.Kesi hiyo inaweza kuchukuwa miezi kadhaa huku wingi wa theluthi mbili ya kura ukihitajika kumung'oa kabisa madarakani Roussef mwenye umri wa miaka 68





About Author

Advertisement

Chapisha Maoni

 
Top