HOME
Tangazo hilo linajiri baada ya mazungumzo ya dharura mjini Geneva kuhusu uwezekano wa kutuma wataalam wa ugonjwa wa maambukizi ili kuudhibiti ugonjwa huo ambao ni hatari zaidi.
Ugonjwa huo umewaua zaidi ya watu mia tisa magharibi mwa afrika .
Mataifa yalioathiriwa vibaya ni Guinea,Liberia na Sierra Leone,lakini pia visa vimeripotiwa nchini Nigeria.
CHANZO;BBC SWAHILI NA REUTERS
Ebola:'WHO latangaza hali ya tahadhari'
8 Agosti, 2014 - Saa 08:02 GMT
Shirika la afya duniani WHO
limetangaza kuenea kwa ugonjwa wa Ebola Magharibi mwa afrika kama janga
la kimataifa linalohitaji kushughulikiwa kwa dharura.
WHO imesema kuwa mataifa yalio na maambukizi ya
virusi vya ugonjwa huo hayana uwezo wa kudhibiti kiwango cha virusi
hivyo na hivyo basi yanahitaji usaidizi wa kimataifa.Tangazo hilo linajiri baada ya mazungumzo ya dharura mjini Geneva kuhusu uwezekano wa kutuma wataalam wa ugonjwa wa maambukizi ili kuudhibiti ugonjwa huo ambao ni hatari zaidi.
Ugonjwa huo umewaua zaidi ya watu mia tisa magharibi mwa afrika .
Mataifa yalioathiriwa vibaya ni Guinea,Liberia na Sierra Leone,lakini pia visa vimeripotiwa nchini Nigeria.
Chapisha Maoni