Ni kawaida kwa vilabu vya soka barani Ulaya
kuwa na utamaduni na mbinu tofauti tofauti za kuhakikisha kila mwaka
wanaendeleza kuiingizia klabu mapato, moja kati ya mbinu zinazotumika
kuiingizia klabu mapato ni kubuni muonekano wa jezi mpya kila msimu
pasipo kubadili rangi husika za klabu ili shabiki avutike kununua kila
msimu.
April 26 2016 stori kutoka mtandao wa 101greatgoals.com wameonesha jezi mpya za Arsenal zitakazotumika msimu wa 2016/2017, jezi hizo za Arsenal
hazijatolewa wala kutangazwa rasmi na klabu hiyo bali zimevuja kutoka
vyanzo vya ndani ya klabu hiyo na bado zitaendelea kutengenezwa na Puma kama kawaida.
Chapisha Maoni