HOME
Imekua
show ya tano kufanyika kwenye msimu wa dhahabu baada ya Mwanza, Bukoba,
Kahama na Tanga kuishuhudia show ya Fiesta 2014 ikiwa ni Tour
itakayotua kwenye mikoa 18 Tanzania.
Shangwe zilipatikana kwa Wasanii mbalimbali waliopanda kwenye stage ya Serengeti Fiesta Moshi wakiwemo Chege na Temba, Stamina na Fid Q, Mo Music na wengine.

Feza
Kessy ni miongoni mwa Wasanii waliokua wanasubiriwa kwenye stage ya
Serengeti Fiesta 2014 hapa Moshi show iliyofanyika August 30 ambapo staa
huyu alieiwakilisha Tanzania kwenye BBA 2013, alipanda kwenye stage na
dancers wake watatu wa kiume.
Waimbaji wengine wa kike waliochukua mic kwenye stage ni pamoja na Shaa, Maua na Recho.

Hivi ndivyo shangwe la Mo Music, Fid Q, Ali Kiba, Nay wa Mitego, Stamina, Chege na Temba walivyotokelezea Fiestani Moshi Aug 30
Shangwe zilipatikana kwa Wasanii mbalimbali waliopanda kwenye stage ya Serengeti Fiesta Moshi wakiwemo Chege na Temba, Stamina na Fid Q, Mo Music na wengine.
Happy birthday Fetty Aug 31 ! hapa ni B12 aliitangaza birthday ya Fetty kwenye stage
Waimbaji wengine wa kike waliochukua mic kwenye stage ni pamoja na Shaa, Maua na Recho.
Chapisha Maoni