HOME
MASKINI_TAZAMA WANAFUNZI HAWA WANAVYOTESEKA SHINYANGA TENA SHULE MAALUM,VIFAA VYA KUJIFUNZIA VIBOVU,MADARASA YAMECHOKA
MASKINI_TAZAMA WANAFUNZI HAWA WANAVYOTESEKA SHINYANGA TENA SHULE MAALUM,VIFAA VYA KUJIFUNZIA VIBOVU,MADARASA YAMECHOKA
Ndani
ya moja ya madarasa lenye wanafunzi wasioona-Pichani ni mwalimu Agnes
Makambajeki akiwa na wanafunzi wake wakijifunza kwa kutumia vifaa
ambavyo vinaelezwa kuwa ni vibovu.Picha na Kadama Malunde |
Miongoni mwa vifaa vinavyotumiwa na watoto wenye ulemavu kujifunzia katika shule ya msingi Buhangija iliyopo Shinyanga mjini.Picha na Kadama Malunde
Mwalimu
Mduma(Kushoto) alisema wana upungufu wa vifaa kwa watoto
wasioona,mashine za wasioona( Perking Braillers) nyingi
zimeharibika,hata karatasi na kalamu maalum kwa wasioona hazitoshi.Picha na Kadama Malunde
Pichani ni mfano wa kalamu maalum inayotumiwa na wanafunzi wasioona katika shule ya msingi Buhangija mjini Shinyanga.Picha na Kadama Malunde
Kushoto ni mwalimu Kwandu Ngalaba akiendelea na darasa.
Picha na Kadama Malunde
Hili ni darasa jingine ambapo watoto wenye ulemavu na wasiokuwa na ulemavu wanasoma pamoja katika shule hiyo.Picha na Kadama Malunde |
Mwalimu mkuu wa shule ya Buhangija Peter Ajali akizungumza na Malunde1 blog,ambapoa alisema shule
ya msingi Buhangija Jumuishi iliyopo katika kituo cha kulelea watoto
wenye ulemavu wa ngozi,wasioona na wasiosikia hivi sasa ina watoto 275,
wasioona 38,wasiosikia 49 na wenye ulemavu wa ngozi 188.Alisema
pamoja na shule hiyo kuwa na wanafunzi wenye ulemavu pia wapo wanafunzi wasiokuwa na ulemavu 758.
Chapisha Maoni