HOME
Jumatano ya April 20 2016 ndio ilikuwa siku ya kuuaga mwili wa aliyekuwa mkurugenzi wa utumishi wa benk Kuu ya Tanzania Amatus Joachim Liyumba,
marehemu ameagwa kwa baadhi ya watu kama familia na ndugu ndio walipewa
nafasi ya kuona sura ya mwisho, hiyo inatokana na wosia wa marehemu
kutotaka kuagwa na watu wengi.
Chapisha Maoni