HOME
Saa chache baada ya Dar es Salaam Young Africans kutua Airport Dar es Salaam, Azam FC na wao wakafuatia kutua wakitokea Tunisia na kikosi chao cha wachezaji karibia wote kasoro Farid Musa aliyeunganisha kutokea Tunisia kwenda Hispania kwa majaribio. Azam FC wamewasili lakini wanaondoka usiku wa saa 20:00 kuelekea Mwanza kwa ajili ya mchezo wao wa Kombe la FA dhidi ya Mwadui FC utakaochezwa Shinyanga.
Singano
Aishi Manula wa kwanza akifuatiwa na Aggrey Morris
Ame Ally
Jean Mugiraneza
Hamis Mcha
Kocha msaidizi Azam FC Denis Kitambi
Chapisha Maoni