Bado zimebaki siku kadhaa kabla ya michuano ya mataifa ya Ulaya (EURO 2016) kuanza kuchezwa michuano ambayo hufanyika kila baada ya miaka 4, kwa mwaka 2016 michuano hiyo inatarajiwa kufanyika Ufaransa, siku moja baada ya timu ya taifa ya Uingereza kutangaza kikosi chake, Hispania wametangaza chao leo May 17 2016.
Hispania wametangaza kikosi cha wachezaji 25 lakini kuna list ya majina ya wachezaji kama Fernando Torres, Juan Mata, Santi Cazorla wa Arsenal na Hector Bellerin wameachwa lakini walikuwa wanatarajiwa kuwepo katika list ya kikosi hicho cha Vicente del Bosque.
List ya majina ya wachezaji 25 walioitwa
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.