HOME
Uingereza inaamini kwamba kundi hilo linategemea ufadhli kutoka nje.
Azimio hilo imewataja watu sita watakaopigwa marufuku kusafiri, huku mali yao ikipigwa tanji mbali na kuwekewa vikwazo vya kununua silaha.
Mmoja ya wale waliotajwa ni msemaji wa kundi hilo la Islamic State.
Uamuzi huo pia unatoa wito kwa makundi yanayoshirikiana na Al Qaeda kusalimu silaha na kuvunjiliwa mbali.
UN:Wanaowafadhili wapiganaji mashakani
16 Agosti, 2014 - Saa 05:45 GMT
Baraza la usalama la Umoja wa
Mataifa kwa pamoja limeamua kuwawekea vikwazo watu binafsi
wanaowasajili,kuwafadhili na kuwahami wapiganaji walio na hisia kali.
Waandishi wanasema kuwa uamuzi huo ulioandaliwa na Uingereza unalenga kulidhoofisha kundi la Islamic State nchini Iraq na Syria.Azimio hilo imewataja watu sita watakaopigwa marufuku kusafiri, huku mali yao ikipigwa tanji mbali na kuwekewa vikwazo vya kununua silaha.
Mmoja ya wale waliotajwa ni msemaji wa kundi hilo la Islamic State.
Uamuzi huo pia unatoa wito kwa makundi yanayoshirikiana na Al Qaeda kusalimu silaha na kuvunjiliwa mbali.
Chapisha Maoni