SIASA za tanzania ndo chanzao cha umasikini ambao watanzania wa leo tulionao katika hili nitaeleza ni jinsi gani siasa za tanzania kwa vyama vyote ila hasa kwa CCM(REVOLITION PARTY) chanzo cha umasikini tanzani.
vyama vya saiasa tanzania vimeshindwa kushindwa kutete wananchi wa tanzania na maendeleo yao bali bunge la Tanzania ambalo lipo mkoani Dodoma, mkoa ambao unaongoza kua na masikini wengi sana limekua bunge la kutetea masilahi ya vyama na ilani zao CCM wanachofanya bungeni kwa sasa ni kuangalia nini kinachokuja mbele yaani uchaguzi mkuu na kusahau maendeleo ya watanzania
napata wakati mgumu unaoendeleo mkoa wa Geita mkoa ambao una migodi midogo na mikubwa mikubwa kwa dhahabu lakini hali ya uchumi imekua mbaya kwani CCM BAADA YA KUMUONA MSUKUMA HAENDANI NA MAMBO YAO WALIAMUA kumuondoa kama mwenyekiti wa halmsahauri kwani alikua haifuati ilani yao.
Mbali na hilo hali ya bei za mazao ya wananchi imekua mbaya sana naishangaa sana CCM na serikli yake kuingiza mpunga kutoka Thailand wakati mpunga wa Tanzania ni mwingi na kusababisha kushuka kwa bei na kipato cha watanzania.
Kwa mtanzania wa sasa aliye masikini atabaki kua masiki na aliye tajiri atakua tajiri daima.
Utumwa na chama wasomi wa Tanzania awamekua masikini wa akili kwa kukubali kuwa watumwa wa wanasiasa na kufuata ilani zao kwani maprofesa wengi wamekua wakiwafukuza wanafunzi vyuoni wakati wanadai haki zao kwa sababu wameshanunuliwa hii ni dallii ya umsakini Tanzania inakumbana nayo kwani hadi wanotegenewa kuitetea nchi nao wameshakua watumwa.