Habari
kutoka mkoani Morogoro zinasema kuwa watu watano wamefariki dunia na
wengine wengi kujeruhiwa asubuhi ya leo baada ya basi la Airline
likitoka Dar es salaam kwenda Tabora.
Ajali hiyo imetokea katika eneo la Kilisa mkoani Morogoro,na kwamba chanzo cha ajali bado hakijajulikana
Habari na picha tutakuletea hivi punde kupitia hapa Dunia Yetu blog
The part time Blogger love to blog on various categories like Web Development, SEO Guide, Tips and Tricks, Android Stuff, etc including Linux Hacking Tricks and tips. A Blogger Template Designer; designed many popular themes.
Chapisha Maoni