Unknown Unknown Author
Title:
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
HOME Picha 16 za ajali nyingine ya Basi Dodoma leo, alikuwemo meneja wa Dr. Cheni Ripota wa nguvu aliekuwemo kwenye hili basi ndio a...
HOME

Picha 16 za ajali nyingine ya Basi Dodoma leo, alikuwemo meneja wa Dr. Cheni

Screen Shot 2014-09-08 at 2.27.50 PMRipota wa nguvu aliekuwemo kwenye hili basi ndio amenitumia hizi picha na kuniambia ni zaidi ya watu watano ambao ameshuhudia wamepoteza maisha na wengine zaidi kujeruhiwa.
Basi linaitwa Air Bus na limepata ajali likielekea Dodoma na ni baada ya kifaa cha usukani kushindwa kufanya kazi ambapo muda mfupi baadae anasema alisikia tu dereva akipiga kelele na kisha kikafata kishindo, basi likaacha njia na kwenda bondeni.
millardayo.com inaendelea kufatilia ili kupata taarifa kamili ili kujua idadi ya vifo na majeruhi pamoja na taarifa nyingine ambapo ajali hii imetokea siku tatu baada ya Waziri wa uchukuzi Dr. Harryson Mwakyembe kufungia kampuni mbili za mabasi ya J4 Express na Mwanza Coach yaliyogongana na kuua 39 Musoma.
Screen Shot 2014-09-08 at 2.27.59 PM
Screen Shot 2014-09-08 at 2.28.08 PM
Screen Shot 2014-09-08 at 2.28.16 PM
Screen Shot 2014-09-08 at 2.27.39 PM
Screen Shot 2014-09-08 at 2.27.32 PM
Screen Shot 2014-09-08 at 2.27.24 PM
Screen Shot 2014-09-08 at 2.27.17 PM
Screen Shot 2014-09-08 at 2.27.09 PM
Screen Shot 2014-09-08 at 2.27.02 PM
Screen Shot 2014-09-08 at 2.26.52 PM
Screen Shot 2014-09-08 at 2.26.41 PM
Screen Shot 2014-09-08 at 2.26.33 PM
Screen Shot 2014-09-08 at 2.28.27 PM
Screen Shot 2014-09-08 at 2.28.16 PM
Screen Shot 2014-09-08 at 2.28.08 PMNi halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu na niko tayari kukutumia wakati wowote iwe usiku au mchana iwapo utakua umejiunga na mimi kwa kubonyeza hapa >>> facebook.com/Mathew.Clement.LUBUYI



About Author

Advertisement

Chapisha Maoni

 
Top