HOME
DIWANI ALIYEJIUZURU AFUKUZWA KWENYE KIKAO CHA MADIWANI WA MANISPAA YA SHINYANGA,ALIENDA BILA KUALIKWA
Baada kuambiwa avue joho la udiwani na kutoka nje_Wa
kwanza kulia ni bwana Zacharia Mfuko aliyejiuzuru udiwani wake kupitia
Chadema kisha kuhamia CCM na baadaye tena kurudi CHADEMA na kuandika
barua tarehe 22.7.2014,kwenda kwa meya na mkurugenzi wa manispaa kuwa
uamuzi wa kujiuzuru ulikuwa batili hivyo bado ni madiwani lakini mpaka
sasa hawajajibiwa barua zao na mwenzake na leo kaamua kwenda kwenye
kikao cha madiwani lakini akaambiwa atoke kwenye kikao Picha zote na Kadama Malunde BOFYA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI |
Chapisha Maoni