HOME
Ripota
wa dunia yetu.com nchini Uganda Bill the African ameripoti kuhusu hii ya vurugu
kubwa kutokea kwenye mpaka wa Uganda na Sudan eneo la Ufoju kutokana na
raia wa nchi hizi mbili kutoafikiana kwenye baadhi ya mambo ambapo pia
baadhi ya viongozi wa Uganda kwenye eneo hilo walikamatwa na Polisi wa
Sudan.
Kikubwa kinachosababisha vurugu hizi ni mipaka ya hizi nchi kushindwa kujulikana kila mmoja anatakiwa kuishia wapi ambapo pia Waganda ambao wamekua wakiingia Sudan wamekua wakikamatwa na Polisi wa Sudan na kupewa mateso makubwa.
Jeshi
la Polisi Uganda limesema kwamba katika vurugu hizi karibu nyumba 15 za
raia wa Sudan wanaoishi Uganda zimechomwa moto likiwemo kanisa la
kipentekoste linalodaiwa kuwa la raia wa Sudan.

Picha 5 za kilichotokea kwenye mpaka wa Sudan na Uganda na kumekuwa na headlines kuwa kuna ugomvi

Chapisha Maoni