May 11 2016 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda leo amejumuika na wananchi wa Dar es salaam kuteleza pamoja kwenye usafiri wa mabasi yaendayo haraka kutokea Kariakoo mpaka Kimara mwisho.
Aidha Paul Makonda ameongeza siku za wananchi kupanda bure mabasi hayo mpaka siku ya Jumatatu May 16 2016 baada ya siku mbili zilizotolewa awali.
Chapisha Maoni