April 2 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jonh Magufuli alifanya safari yake ya kwanza nchini Rwanda tangu aingie madarakani. Leo May 11 2016 Rais Magufuli ameingia tena kwenye headline ambapo taarifa zinasema mapema leo Rais Magufuli ametua nchini Uganda ikiwa ni safari yake ya pili kwenda nje tangu aingie madarakani.
Rais Magufuli amewasili katika uwanja wa ndege wa Entebbe nchini Uganda kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais Yoweri Museveni kesho.
VIDEO: Earlier today the President of Tanzania Magufuli arrived in Uganda #M7SwearsIn nbs.ug/live
President Magufuli has arrived at Entebbe Airport ahead of tomorrow's #M7SwearsIn at Kololo Independence Grounds
Chapisha Maoni