Bei za mafuta ya petrol, diesel na mafuta ya taa zaanza kutumika leo…..
HOME June 1, 2016 Mamlaka ya udhibiti wa huduma za nishati na maji nchini (EWURA) imetoa bei mpya za mafuta ya taa na mafuta ya Petrol, Diesel katika masoko yote ya jumla na rejareja zimeanza kutumika…