Usiku wa May 28 2016 ilikuwa ni siku ya kumtafuta Miss Arusha 2016 ambaye amerithi Taji lililokuwa likishikiliwa na Miss Arusha 2014 Lilian Kamanzima ambaye pia ndiye Miss Tanzania kwa sasa, mchuacho ulianza kwa washiriki 17 hatimaye washiriki wakabaki watano ambapo Maurine Ayubu amenyakua taji hilo la Miss Arusha 2016/2017, Usiku huo burudani ya nguvu ilidondoshwa na wakali kutoka kundi la Navy Kenzo.
PICHA 10: Miss Arusha 2016 alivyopatikana na burudani kutoka kwa Navy Kenzo
HOME
29
May
2016
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.