HOME
HALMASHAURI MPYA YA USHETU WILAYANI KAHAMA YAIBUKA MSHINDI WA PILI MAONESHO YA NANE NANE KANDA YA ZIWA...WIALAYA YA MAGU YAONGOZA.
MAAFISA KUTOKA HALMASHAURI YA USHETU WAKISHANGILIA USHINDI
Wakulima na wafugaji katika halmashauri ya Ushetu
wilayani Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa
kuongeza juhudi katika uzalishaji ili kufikia mafanikio ya sera ya matokeo
makubwa sasa kilimo ni biashara.
Wito huo umetolewa jana na mkurugenzi wa halmashauri
hiyo Bi Isabela Chirumba alipokuwa akifanya mahojiano na Kijukuu Blog katika
banda la halmashauri hiyo katika kilele cha sikukuu za nane nane jijini Mwanza.
Chirumba amesema kuwa kwa sasa halmashauri ya Ushetu
ina wataalamu wa kutosha katika Idara zote ikiwemo idara ya Kilimo hivyo
wakulima wafike katika ofisi za vijiji na kata ili kuomba ushauri na utaalamu
kutoka kwa maafisa wa kilimo na ufugaji.
Sambamba na hayo Chirumba amewapongeza wakuu wa
Idara wote wa halmashauri yake kwa kushiriki
kikamilifu katika maandalizi ya maonesho ya nane nane Kanda ya zia yaliyofanyika katika viwanja vya
Nyamuhongolo jijini Mwanza
Katika maonesho hayo
halmashauri ya Ushetu imeshika nafasi
ya pili katika maonesho ya nane nane kanda ya ziwa baada ya banda lake
kuonekana kuwa bora huku wilaya ya Magu ikishika nafasi ya Kwanza na nafasi ya
tatu ikishikwa na halmashauri ya Manispaa ya Musoma.
Maonesho ya nane nane Kanda ya ziwa yamejumuisha mikoa
sita yenye halmashauri arobaini na moja na kauli mbiu ya mwaka huu ni MATOKEO
MAKUBWA SASA,KILIMO NI BIASHARA.
MATUKIO KATIKA PICHA:
MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA USHETU BI ISABELA CHIRUMBA AKIONESHA KOMBE
LA MSHINDI WA PILI MUDA MCHACHE BAADA YA KUKABIDHIWA NA WAZIRI MKUU
MIZENGO PINDA.
MWANDISHI NA MMILIKI WA KIJUKUU BLOG WILLIAM BUNDALA KUSHOTO AKIFANYA MAHOJIANO NA MSEMAJI WA BANDA LA HALMASHAURI YA USHETU.
MASHINE YA KISASA YA KUFYATUA MATOFALI ILIYOKUWEPO KATIKA BANDA LA HALMASHAURI YA USHETU.
KILIMO NI BIASHARA HILI NI BOGA JAMANI
BANDA LA HALMASHAURI YA USHETU LILIKUWA HALIKAUKI WATU SIKU ZOTE ZA MAONESHO.
AFISA KUTOKA HALMASHAURI YA USHETU MR GEORGE AKIWA KATIKA BANDA LAO.
AFISA KILIMO AKITOA MAELEKEZO KWA WATU WALIOFIKA KATIKA BANDA LA USHETU
USHETU OYEEEEEEEEEEEEEEEE
MAAFISA KUTOKA USHETU WAKIWA KATIKA BANDA LAO.
MR GEORGE AKIELEKEZE NAMNA YA KUTUMIA MASHINE YA KISASA YA KUFYATULIA MATOFALI.
MUMEPENDEZAAAA SANAAA WAKUU WA KITENGO...BIG UP KWENU,TOGETHER WE CAN.
MAAFISA WAKIONESHA JINSI YA KUJENGA NYUMBA KWA MATOFALI YA KISASA.
MMOJA WA WANANCHI WALIOFIKA KATIKA BANDA HILO AKIPEWA ZAWADI YA CHANDARAU.
BAADHI YA WAHESHIMIWA MADIWANI WA HALMASHAURI YA USHETU WALIOFIKA KATIKA
KILELE CHA NANE NANE JIJINI MWANZA,WAKIWA KATIKA BANDA LA USHETU.
MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA USHETU BI ISABELA CHIRUMBA AKIWASILI KATIKA BANDA LAO
BANDA LA USHETU KATIKA MWONEKANO WAKE.
MAAFISA WAKIWA KATIKA BANDA LAO WAKIWEKA MAMBO SAWA.
BAADA YA KUWASILI MKURUGENZI AKAANZA KUWAJIBIKA HAPA AKIWAFAFANULIA WANANCHI USHINDI WA VIKOMBE MBALIMBALI.
HUKU NDIKO USUKUMANI NA HIZI NDIYO NGOMA ZETU.
MASANII WA NYIMBO ZA ASILI AKICHEZA NA CHATU MKUBWA
KISHA AKAMUACHIA CHATU ATEMBEEE ONA VITI PEMBENI KULEEE VILIVYOBAKI VYEUPEE HAPANA CHEZEA NYOKA WEWEEEE.
DIWANI TOKA HALMASHAURI YA USHETU KULIA NAYE ALIAMUA KUCHEZA NA NYOKA.
WAKUU WA IDARA TOKA USHETU WAKIWA JUKWAA KUU.
HAYA JAMANI MAMBO YA HAKI SAWA KWA WOTE HAYO.
USHETU OYEEEEEEEE
WAKUU WA IDARA WAKIWA NA MKURUGENZI MUDA MCHACHE BAADA YA KUKABIDHIWA KIKOMBE.WA PILI KUTOKA KULIA NI DIWANI WA KATA YA IGUNDA MH.TABU KATOTO
USHINDI OYEEEEEEE
MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA USHETU BI ISABELA CHIRUMBA AKIGAWA ZAWADI
YA VYANDARUA KWA KINA MAMA WAJAWAZITO WALIOFIKA KATIKA BANDA LAKE.
USHINDI ULITABIRIWA 2014 MANA HATA TANGA KATIKA MAONESHO YA SERIKALI ZA
MITAA USHETU ILIKUWA YA PILI
AHAHAHAHAHAHAHAH.........................KUKAYA KUSOGA.
USHETU OYEEEEEEEEEE
KIJUKUU CHA BIBI K KUSHOTO AKIFANYA MAHOJIANO NA MKURUGENZI WA USHETU.
Chapisha Maoni