HOME
SHIRIKA LA AGPAH LATOA ELIMU KUHUSU MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI PAMOJA KUTOA HUDUMA YA KUPIMA VIRUSI HIVYO BURE KATIKA KITONGOJI CHA SAZIA WILAYANI KAHAMA
Leo asubuhi katika kijiji cha Nyihogo,kitongoji cha Sazia shirika la AGPAH limewatembelea watu wa mtaa na kuwapa elimu kuhusu VVU pamoja na kutoa huduma ya bure ya vipimo.Katika kitonoji hicho ndipo kila aina ya matendo mabaya hufanyika ikiwa ni pamoja na ubakaji,wizi pia ndipo yalipo maskani yao.Pia bar zinazouza pombe za kienyeji zinapatikana katika mtaa huo.
Moja bar zinazopatikana mtaani hapo
Baadhi ya wahudumu wakiongea na wakazi wa eneo hilo
Hili ni hema litakalotumika kama katika tukio zima la upimaji wa VVU
Wakifunga hema hili
Katika mtaa huu ukifika usishangae kuona mwanamke akitembea na nguo za ndani pekee yake au mwanamke kubakwa,mwanamke kumung'ang'ania mwanaume kuwa mpenzi wake pia kila siku lazima ugomvi kutokea kifupi watu wa mtaa huu wamekata tamaa.Pongezi kwa AGPAH kututembelea mtaani kwetu ili watu wapime VVU ninaimani watuwatajitokeza kwa wingi ili kujua afya zao.Kwa faida tu ya wasomaji mkurugenzi wa blogu hii pia anaishi katika mtaa huo na muda kama wa siku tano hivi niliibiwa camera yangu ambayo huwa natumia katika kupiga picha.Kifupi kama haujawahi kufika KAHAMA hasa katika kitongoji hiki ukifika kuwa makini maana kuibiwa ni jambo la kawaida.

Chapisha Maoni