Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na
mwenyeji wake Rais Mteule wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni mara baada
ya kuwasili katika Ikulu ya Entebe nchini Uganda.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea zawadi
ya maua kama ishara ya Ukaribisho kutoka kwa mtoto katika Ikulu ya
Entebe nchini Uganda mara baada ya kuwasili kutokea Arusha.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
mwenyeji wake Rais Mteule wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni wakati nyimbo
za mataifa mawili pamoja na ule wa Afrika Mashariki ukipigwa katika
Ikulu ya Entebe nchini Uganda.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
jambo na mwenyeji wake Rais Mteule wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni
mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Uganda.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Maafisa mbalimbali waku wa vyombo vya Ulinzi wa
Serikali ya nchini Uganda mara baada ya kuwasili nchini humo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua
gwaride la heshima mara baada ya kuwasili katika Ikulu nchini Uganda.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipunga mkono
kwenye kikundi cha ngoma za asili mara baada ya kuwasili kwenye Ikulu ya
nchini Uganda.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
mwenyeji wake Rais Mteule wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni mara baada ya
kuwasili katika Ikulu ya Entebe nchini Uganda.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini
kitabu cha Pongezi wakati alipowasili katika Ikulu ya Entebe nchini
Uganda.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
mwenyeji wake Rais Mteule wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni mara baada ya
kuwasili katika Ikulu ya Entebe nchini Uganda.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili
katika Uwanja wa ndege wa Entebbe, nchini Uganda kwa ajili ya kuhudhuria
sherehe za kuapishwa kwa Rais Yoweri Museveni, kesho.
Chapisha Maoni